Kwa mara ya kwanza katika historia: Sherehe za muungano zafanyika Rais akiwa nje ya nchi

Kwa mara ya kwanza katika historia: Sherehe za muungano zafanyika Rais akiwa nje ya nchi

Watoto wa mjini wanasema yuko kueeeenjooy🤣🤣 ila huyu maza 🙌
 
Hili neno anaupiga mwingi huwa limekaa katika tafasri mbili nashangaa huwa linatamkwa tamkwa tu kila mara na yeye anachekelea

Maana ya kwanza
-ni kuwa anaujanja ujanja wa ajabu ajabu ambao anatupelekanao kombo
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Nadhani hatukuwa na shukrani.
Mungu kaamua kutuadhibu.
TUVUMILIE tu hadi 2025.
 
Anakimbia majukumu yake. Uwezo wake ni sifuri, mdogo sana kutatua changomoto za Watanzania hasa matatizo ya bara. Kazi yake kubwa ni kula bata.
 
Kwa mara yakwanza katika historia, tarehe 26/04/2022 Tanzania ina adhimisha miaka 58 ya muungano huku mkuu wa nchi akiwa nchini Marekani.
Haijawahi kutokea kabla, mama anaandika historia nyingine.

Uzi huu hauhusiani na nyuzi nyingine, huu ni uzi wa kumbukumbu ya kihistoria.
Kama ni wa historia mbona upo jukwaa la siasa
 
... muungano wa kisanii ufike mwisho.
 
Nadhani hatukuwa na shukrani.
Mungu kaamua kutuadhibu.
TUVUMILIE tu hadi 2025.
Unamaanisha nini kusema hivi? Kwani sisi ndiyo tulimpendekeza awe Makamu wa Rais mwaka 2015? Au sisi ndiyo tulio vuruga mchakato wa uchaguzi wa 2020? Au sisi ndiyo tulio sababisha kifo cha Mtangulizi wake mwaka wa jana 2021?

Hebu kuwa muwazi kidogo.
 
Hili neno anaupiga mwingi huwa limekaa katika tafasri mbili nashangaa huwa linatamkwa tamkwa tu kila mara na yeye anachekelea

Maana ya kwanza
-ni kuwa anaujanja ujanja wa ajabu ajabu ambao anatupelekanao kombo
Tuliposherekea Marais wakiwa ndani kiliongezeka nini!?
 
Back
Top Bottom