Kwa mara ya kwanza katika historia: Sherehe za muungano zafanyika Rais akiwa nje ya nchi

Kwa mara ya kwanza katika historia: Sherehe za muungano zafanyika Rais akiwa nje ya nchi

Kwani nini maana ya kuwa na Makamu wa Rais?! Mlishazoezwa Rais anazindua hadi vyoo basi!
Rais Samia yuko sawa, tuache afanye kazi zake bila kufanyiwa fitna!
 
Kwani akiwepo nchini ndio inaboresha zaidi muungano??
 
Rais wetu ana kula maisha marekani.

Muungano hauna maana yeyote.

Kama inawauma sana sageni chupa mnywe.

Marekani all the way.
 
Nahisi mama ameenda kwenye matibabu kwa kivuli cha kutangaza utalii.
 
Back
Top Bottom