Kwa mara ya kwanza katika historia: Sherehe za muungano zafanyika Rais akiwa nje ya nchi

Watoto wa mjini wanasema yuko kueeeenjooy🤣🤣 ila huyu maza 🙌
 
Hili neno anaupiga mwingi huwa limekaa katika tafasri mbili nashangaa huwa linatamkwa tamkwa tu kila mara na yeye anachekelea

Maana ya kwanza
-ni kuwa anaujanja ujanja wa ajabu ajabu ambao anatupelekanao kombo
 
Reactions: ABJ
Nadhani hatukuwa na shukrani.
Mungu kaamua kutuadhibu.
TUVUMILIE tu hadi 2025.
 
Anakimbia majukumu yake. Uwezo wake ni sifuri, mdogo sana kutatua changomoto za Watanzania hasa matatizo ya bara. Kazi yake kubwa ni kula bata.
 
Kama ni wa historia mbona upo jukwaa la siasa
 
Kama anachofanya ni productive huko nje ni sahihi kabisa
 
... muungano wa kisanii ufike mwisho.
 
Nadhani hatukuwa na shukrani.
Mungu kaamua kutuadhibu.
TUVUMILIE tu hadi 2025.
Unamaanisha nini kusema hivi? Kwani sisi ndiyo tulimpendekeza awe Makamu wa Rais mwaka 2015? Au sisi ndiyo tulio vuruga mchakato wa uchaguzi wa 2020? Au sisi ndiyo tulio sababisha kifo cha Mtangulizi wake mwaka wa jana 2021?

Hebu kuwa muwazi kidogo.
 
Hili neno anaupiga mwingi huwa limekaa katika tafasri mbili nashangaa huwa linatamkwa tamkwa tu kila mara na yeye anachekelea

Maana ya kwanza
-ni kuwa anaujanja ujanja wa ajabu ajabu ambao anatupelekanao kombo
Tuliposherekea Marais wakiwa ndani kiliongezeka nini!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…