WAKO WAPI WATU WAKO JF-Expert Member Joined Sep 26, 2017 Posts 2,373 Reaction score 3,139 Apr 26, 2022 #21 inamankusweke said: Tuliposherekea Marais wakiwa ndani kiliongezeka nini!? Click to expand... Duh! Makamasi haya
inamankusweke said: Tuliposherekea Marais wakiwa ndani kiliongezeka nini!? Click to expand... Duh! Makamasi haya
komamgo JF-Expert Member Joined Sep 14, 2012 Posts 1,757 Reaction score 1,483 Apr 26, 2022 #22 inamankusweke said: Tuliposherekea Marais wakiwa ndani kiliongezeka nini!? Click to expand... Only fulls ask such kind of question.
inamankusweke said: Tuliposherekea Marais wakiwa ndani kiliongezeka nini!? Click to expand... Only fulls ask such kind of question.
inamankusweke JF-Expert Member Joined Apr 24, 2014 Posts 20,344 Reaction score 21,967 Apr 26, 2022 #23 komamgo said: Only fulls ask such kind of question. Click to expand... Jibu swali acha kujificha kwenye kichaka Cha matusi na English yako yenye matege!?
komamgo said: Only fulls ask such kind of question. Click to expand... Jibu swali acha kujificha kwenye kichaka Cha matusi na English yako yenye matege!?
F Fumadilu Kalimanzila JF-Expert Member Joined Dec 10, 2016 Posts 1,770 Reaction score 5,423 Apr 26, 2022 #24 Kwani nini maana ya kuwa na Makamu wa Rais?! Mlishazoezwa Rais anazindua hadi vyoo basi! Rais Samia yuko sawa, tuache afanye kazi zake bila kufanyiwa fitna!
Kwani nini maana ya kuwa na Makamu wa Rais?! Mlishazoezwa Rais anazindua hadi vyoo basi! Rais Samia yuko sawa, tuache afanye kazi zake bila kufanyiwa fitna!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Apr 26, 2022 #25 Kwani akiwepo nchini ndio inaboresha zaidi muungano??
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 26, 2022 #26 Makamu yupo...
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Apr 26, 2022 #27 Rais wetu ana kula maisha marekani. Muungano hauna maana yeyote. Kama inawauma sana sageni chupa mnywe. Marekani all the way.
Rais wetu ana kula maisha marekani. Muungano hauna maana yeyote. Kama inawauma sana sageni chupa mnywe. Marekani all the way.
ipyax JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 4,247 Reaction score 6,578 Apr 26, 2022 #28 Nahisi mama ameenda kwenye matibabu kwa kivuli cha kutangaza utalii.
Nasema Uongo Ndugu Zangu JF-Expert Member Joined Apr 28, 2020 Posts 279 Reaction score 779 Apr 26, 2022 Thread starter #29 Statesman said: Rais wetu ana kula maisha marekani. Muungano hauna maana yeyote. Kama inawauma sana sageni chupa mnywe. Marekani all the way. Click to expand... Uchochezi
Statesman said: Rais wetu ana kula maisha marekani. Muungano hauna maana yeyote. Kama inawauma sana sageni chupa mnywe. Marekani all the way. Click to expand... Uchochezi