ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwa mujibunwa taarifa ya Uchambuzi wa Uchumi kutoka BoT,Kwa mara ya kwanza katika historia ya ๐น๐ฟ,sekta ya Kimo imeshika namba 1 na Kuongoza kama sekta kuu na Kiongozi wa kuchangia ukuaji mkubwa wa Uchumi wa Nchi (GDP) Kwa takribani asilimia 16% ikifuatiwa na sekta ya Utalii.
Hii ni historia pekee ambayo imewekwa na Rais Samia,hakuna Rais mwingine amewahi weka hii rekodi kabla yake.Pia soma Miaka 3 ya Rais Samia, Mageuzi ya Kilimo cha Korosho yaleta neema. Uzalishaji waongezeka mara 2, Wakulima wavuna Trilioni 1.1, haijawahi tokea
Ikumbukwe Rais Samia amekuwa akiwekeza Kwa Nguvu kubwa kwenye sekta ya Kilimo Ili kuwainua kimaisha mabilioni ya Watanzania ambao wako kwenye sekta hiyo.๐๐
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1891390754259456371?t=TtXhITWFk_q-Pq6--zLAmA&s=19
My Take
Nampa kongole nyingi sana Rais Samia Kwa kuonesha utofauti kwamba kumbe inawezekana Kilimo kuwa uti wa mgongo wa Nchi Kwa vitendo.๐๐
View: https://www.instagram.com/p/DGIZGy0IPyA/?igsh=MWcwNDBneTltcHJsdw==