Kwa Mara ya Kwanza Katika Historia ya Tanzania, Sekta ya Kilimo Imeongiza kwa Kushika namba Moja Kuchangia Zaidi Ukuaji wa Uchumi (GDP)

Kwa Mara ya Kwanza Katika Historia ya Tanzania, Sekta ya Kilimo Imeongiza kwa Kushika namba Moja Kuchangia Zaidi Ukuaji wa Uchumi (GDP)

Bila utashi wa Kisiasa wa Rais Samia wa.kuamua kuwasaidia mabilioni ya watu walioko sekta ya kilimo kuwekeza pesa,msomali asingefanya lolote la maana.

Ikumbukwe sekta ya Kilimo.imekuwa ikipiizwa sana na awamu zingine ila mama amefanya kweli.

Mwezi wa6 anapovunja Bunge ana maelfu ya sababu za kuhesabu mafanikio.kila sekta.
Umesahau mchango wa USAID kwenye kilimo?seeikali pekee haiwezi
 
Au sio?! Kwahiyo tumepata uhuru kamili alipoingia Samia?
images - 2025-03-15T074916.101.jpeg
 
Kwahiyo akija Rais mwingine utakachofanya ni kumpondea Samia na kumpa sifa Rais mteule au!?
Inategemea kama atakuwa na akili kama za Mwendazake.

Kwani wewe umesikia wapi Samia anampondea Mwendazake? Anachofanya ni kurekebisha alimoharibu.
 
Back
Top Bottom