Kwa Mara ya Kwanza Katika Historia ya Tanzania, Sekta ya Kilimo Imeongiza kwa Kushika namba Moja Kuchangia Zaidi Ukuaji wa Uchumi (GDP)

Kwa Mara ya Kwanza Katika Historia ya Tanzania, Sekta ya Kilimo Imeongiza kwa Kushika namba Moja Kuchangia Zaidi Ukuaji wa Uchumi (GDP)

Utalii umeongoza kuleta fedha za kigeni yani za nje ya nchi,lakini kilimo ndio kimeongoza kuchangia Pato la serikali au uchumi kiujumla,ila si kwa pesa za nje,na hili ni kweli kwasababu kwenye utalii dola ndio hutumika zaidi wakati kwenye biashara za mazao shilingi yetu ndio hutumika zaidi
That's good
 
Huyu mama aitwae Samia huyu, acha tu. Nina uhakika taifa hili litaimba sana jina lake hapo baadae.
Yaani wasiompenda wanalazimika tuu kuonesha Mazuri yake maana Kila kukicha ni habari njema 🔥🔥

Nimeamini nabii hakubaliki kwake.Jusi huko Addis Ababa aliteuliwa Kuongoza kikao Cha AU Kwa niaba ya Mwenyekiti Rais wa Angola.

Sio tuu kwamba Samia anakubalika Bali anaaminika na ana nyota Kali sana.

View: https://youtu.be/ervpatq3-ms?feature=shared
 
Hao ma billion ya watanzania wengine wanaishi wapi?!ila naipongeza serikali ya rais Dr samia suluhu Hassan kwa kuendeleza kilimo kwa kiwango kikubwa sana.maana sisi wakulima tumeyaona huku tuliko.
 
Mkulima wa mahindi anayefurahia biashara yake kupata soko katika kipindi hiki umwambie eti kuna masuala ya ' no reform no election' atakuona kichaa fulani tu.

Huyo Lissu akigombea na mgombea wa kawaida asiye na jina wala umaarufu wa huko kwao Singida anashindwa uchaguzi mchana kweupe, watanzania wanajua kutofautisha kati ya pumba na mchele.
 
Tunaendelea kuvuna pesa za majirani Govt’s $35m maize from Tanzania ready for distribution - Malawi Nyasa Times - News from Malawi about Malawi
 
Back
Top Bottom