That's goodUtalii umeongoza kuleta fedha za kigeni yani za nje ya nchi,lakini kilimo ndio kimeongoza kuchangia Pato la serikali au uchumi kiujumla,ila si kwa pesa za nje,na hili ni kweli kwasababu kwenye utalii dola ndio hutumika zaidi wakati kwenye biashara za mazao shilingi yetu ndio hutumika zaidi
Yaani wasiompenda wanalazimika tuu kuonesha Mazuri yake maana Kila kukicha ni habari njema 🔥🔥Huyu mama aitwae Samia huyu, acha tu. Nina uhakika taifa hili litaimba sana jina lake hapo baadae.
Elewa kiswahili au English.Jana ilikuwa ni utalii leo kilimo. Which is which??
Tofautisha kuchangia Pato kubwa na kuwa na Kasi kubwa ya ukuaji ,hivyo ni vitu 2 tofauti.
Uwe mamini unapojadilo terminologies za Uchumi
Bidhaa 6 za Kilimo zinaleta Forex sawa na Utalii.Foreign currency vs GDP
Bidhaa 6 za Kilimo zinaleta Forex sawa na Utalii.
Kwa.lugja nyingine ni kwamba Ukiwa na Kilimo unapata GDP kubwa ,maelfu ya ajira na forex za kuzidi.
Kiuchumi ni Tija zaidi kuwekeza kwenye Kilimo.
Hasa sisi wakulima wa koroshoHongera yetu sisi wakulima 🥳🥳
Haba na haba hujaza kibabaHao ma billion ya watanzania wengine wanaishi wapi?!ila naipongeza serikali ya rais Dr samia suluhu Hassan kwa kuendeleza kilimo kwa kiwango kikubwa sana.maana sisi wakulima tumeyaona huku tuliko.
Mkulima wa mahindi anayefurahia biashara yake kupata soko katika kipindi hiki umwambie eti kuna masuala ya ' no reform no election' atakuona kichaa fulani tu.
Tunaendelea kuvuna pesa za majirani Govt’s $35m maize from Tanzania ready for distribution - Malawi Nyasa Times - News from Malawi about MalawiMkulima wa mahindi anayefurahia biashara yake kupata soko katika kipindi hiki umwambie eti kuna masuala ya ' no reform no election' atakuona kichaa fulani tu.
Huyo Lissu akigombea na mgombea wa kawaida asiye na jina wala umaarufu wa huko kwao Singida anashindwa uchaguzi mchana kweupe, watanzania wanajua kutofautisha kati ya pumba na mchele.