ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #41
Umesahau mchango wa USAID kwenye kilimo?seeikali pekee haiweziBila utashi wa Kisiasa wa Rais Samia wa.kuamua kuwasaidia mabilioni ya watu walioko sekta ya kilimo kuwekeza pesa,msomali asingefanya lolote la maana.
Ikumbukwe sekta ya Kilimo.imekuwa ikipiizwa sana na awamu zingine ila mama amefanya kweli.
Mwezi wa6 anapovunja Bunge ana maelfu ya sababu za kuhesabu mafanikio.kila sekta.
Hapa kwenye korosho Kuna USAid? ππUmesahau mchango wa USAID kwenye kilimo?seeikali pekee haiwezi
Kwani tunazalisha aina zote za mazao?Kesho utasikia tuna nunua mazao toka nje
Kwani mada ni uhuru au matokeo makubwa kwenye Kilimo?Au sio?! Kwahiyo tumepata uhuru kamili alipoingia Samia?
View attachment 3270846
Kwahiyo akija Rais mwingine utakachofanya ni kumpondea Samia na kumpa sifa Rais mteule au!?Kwani mada ni uhuru au matokeo makubwa kwenye Kilimo?
Sema uwekezaji wa kweli kwenye Kilimo umefanyika awamu ya Samia.ππ
View: https://www.instagram.com/p/DHJgD1BNlpd/?igsh=MXNlZXZyMW1iczB2NQ==
View: https://www.instagram.com/reel/DHKzTS_tILL/?igsh=MTYyN2tzc2hwb2Vocw==
Inategemea kama atakuwa na akili kama za Mwendazake.Kwahiyo akija Rais mwingine utakachofanya ni kumpondea Samia na kumpa sifa Rais mteule au!?