ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Toka Nchi hii ya Tanzania ianze kuchimba na kuuza Madini ,Maduhuli na tozo za serikali haijawahi fikia Trilioni 1.
Ni katika awamu hii ya mama Samia ndipo Sekta ya Madini imeweza kukusanya Fedha nyingi zaidi.
Pia soma Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa | JamiiForums Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa
Haya yamewezekana sio Kwa bahati mbaya Bali Kwa juhudi za makusudi za serikali ya Rais Samia Kwa kufanya yafuatayo.
1.Kupunguza na kufuta tozo vikwazo Kwa wawekezaji na wachimbaji wadogo hivyo kuondoa tatizo la ukwepaji Kodi.
2.Kujenga masoko na Vituo vya kuzuia Madini Nchi nzima.
3.Kuwekeza kwa Wachimbaji Madini wadogo Kwa kuwanunulia Mitambo na kuwakopesha pesa.
4.Kupeleka Umeme kwenye migodi mikubwa na kidogo
5.Kupunguza masharti ya utoaji leseni Mpya.
6.Kufuta maeneo hodhi yasiyoendelezwa na kuwapa wawekezaji wengine hasa wachimbaji wadogo.
7.Kuanza kusafisha na kuchenjua Madini ndani ya Nchi
8.BoT kuanza kununua Madini ya Dhahabu.
My Take
Hongera sana Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Samia Kwa kuweka rekodi Mpya.
Namba hazidanganyi Kila sekta ni rekodi Juu ya rekodi,Haters wako qanatafutana kwa kupanga majungu upya maana kwenye delivery hawakuwwzi.