Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
Nimeishia kusoma pale uliposema "toka awamu hi ya mama Samia" nikajua huko mbeleni ni utumbo tu. Since mama kaingia madarakani, kapitisha sheria ipi mpya ya madini? Ni kweli mama anafanya kazi nzuri, lakini nsipende kusifia hata ambavyo yeye hajafanya; the truth of this revenue is, "bei ya madini kwenye soko la dunia imepanda mno tokea historia ya dunia" then kama bei iko ju, automatic hata kodi itakua kubwa. Wakati wa JK, kwa muda mrefu bei ya dhahabu ilikua dola 1200 kwa unit moja, hadi Magufuli anafariki ilikua maximum dola 1800 katika soko la dunia, Since mwaka juzi, dhahabu na almasi vimekua vinapansa bei sana na hasa baada ya vita vya Russia na Ukraine, as we speak bei imefika dola 3300+ hi bei haijawahi kuwepo since dunia inaanza. Muwage mnasoma soma basi hata mitandao au pitia pitia habari za biashara kule BBC au Al Jazeera, haya mambo yapo huko yanatangazwa