ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Iwapo ni kweli sema na ngapi zilizoibwaToka Nchi hii ya Tanzania ianze kuchimba na kuuza Madini ,Maduhuli na tozo za serikali haijawahi fikia Trilioni 1.
Ni katika awamu hii ya mama Samia ndipo Sekta ya Madini imeweza kukusanya Fedha nyingi zaidi.
Haya yamewezekana sio Kwa bahati mbaya Bali Kwa juhudi za makusudi za serikali ya Rais Samia Kwa kufanya yafuatayo.
1.Kupunguza na kufuta tozo vikwazo Kwa wawekezaji na wachimbaji wadogo hivyo kuondoa tatizo la ukwepaji Kodi.
2.Kujenga masoko na Vituo vya kuzuia Madini Nchi nzima.
3.Kuwekeza kwa Wachimbaji Madini wadogo Kwa kuwanunulia Mitambo na kuwakopesha pesa.
4.Kupeleka Umeme kwenye migodi mikubwa na kidogo
5.Kupunguza masharti ya utoaji leseni Mpya.
6.Kufuta maeneo hodhi yasiyoendelezwa na kuwapa wawekezaji wengine hasa wachimbaji wadogo.
7.Kuanza kusafisha na kuchenjua Madini ndani ya Nchi
8.BoT kuanza kununua Madini ya Dhahabu.
My Take
Hongera sana Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Samia Kwa kuweka rekodi Mpya.
Namba hazidanganyi Kila sekta ni rekodi Juu ya rekodi,Haters wako qanatafutana kwa kupanga majungu upya maana kwenye delivery hawakuwwzi.
View: https://www.instagram.com/p/DLmjUliNil-/?igsh=ZmoyNWw1NGtqOGpi
SijuiIwapo ni kweli sema na ngapi zilizoibwa
Toka Nchi hii ya Tanzania ianze kuchimba na kuuza Madini ,Maduhuli na tozo za serikali haijawahi fikia Trilioni 1.
Ni katika awamu hii ya mama Samia ndipo Sekta ya Madini imeweza kukusanya Fedha nyingi zaidi.
Pia soma Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa | JamiiForums Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa
Haya yamewezekana sio Kwa bahati mbaya Bali Kwa juhudi za makusudi za serikali ya Rais Samia Kwa kufanya yafuatayo.
1.Kupunguza na kufuta tozo vikwazo Kwa wawekezaji na wachimbaji wadogo hivyo kuondoa tatizo la ukwepaji Kodi.
2.Kujenga masoko na Vituo vya kuzuia Madini Nchi nzima.
3.Kuwekeza kwa Wachimbaji Madini wadogo Kwa kuwanunulia Mitambo na kuwakopesha pesa.
4.Kupeleka Umeme kwenye migodi mikubwa na kidogo
5.Kupunguza masharti ya utoaji leseni Mpya.
6.Kufuta maeneo hodhi yasiyoendelezwa na kuwapa wawekezaji wengine hasa wachimbaji wadogo.
7.Kuanza kusafisha na kuchenjua Madini ndani ya Nchi
8.BoT kuanza kununua Madini ya Dhahabu.
My Take
Hongera sana Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Samia Kwa kuweka rekodi Mpya.
Namba hazidanganyi Kila sekta ni rekodi Juu ya rekodi,Haters wako qanatafutana kwa kupanga majungu upya maana kwenye delivery hawakuwwzi.
View attachment 3391409
Little but ndio walau Sasa unapata hiliSo we are proud of such little amount collected by the gvt, tuambieni na zilizokwenda mifukoni mwa watu
Akisifiwa na kupongezwa ni chawa ila akitukanwa unaitwa kamanda 😆😆Samia anafanya mengi makubwa tatizo la nchi hii ni chuki za kijinga haswa za watu wa majiji makubwa ya Dar, Mwanza, Arusha na Mbeya.
Toka Nchi hii ya Tanzania ianze kuchimba na kuuza Madini ,Maduhuli na tozo za serikali haijawahi fikia Trilioni 1.
Ni katika awamu hii ya mama Samia ndipo Sekta ya Madini imeweza kukusanya Fedha nyingi zaidi.
Pia soma Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa | JamiiForums Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa
Haya yamewezekana sio Kwa bahati mbaya Bali Kwa juhudi za makusudi za serikali ya Rais Samia Kwa kufanya yafuatayo.
1.Kupunguza na kufuta tozo vikwazo Kwa wawekezaji na wachimbaji wadogo hivyo kuondoa tatizo la ukwepaji Kodi.
2.Kujenga masoko na Vituo vya kuzuia Madini Nchi nzima.
3.Kuwekeza kwa Wachimbaji Madini wadogo Kwa kuwanunulia Mitambo na kuwakopesha pesa.
4.Kupeleka Umeme kwenye migodi mikubwa na kidogo
5.Kupunguza masharti ya utoaji leseni Mpya.
6.Kufuta maeneo hodhi yasiyoendelezwa na kuwapa wawekezaji wengine hasa wachimbaji wadogo.
7.Kuanza kusafisha na kuchenjua Madini ndani ya Nchi
8.BoT kuanza kununua Madini ya Dhahabu.
My Take
Hongera sana Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Samia Kwa kuweka rekodi Mpya.
Namba hazidanganyi Kila sekta ni rekodi Juu ya rekodi,Haters wako qanatafutana kwa kupanga majungu upya maana kwenye delivery hawakuwwzi.
View attachment 3391409
Nachoelewa nihivi huwa unaelewa maana ya inflation au mfumko wa bei? …
Nachoelewa ni hiki 👇 👇hivi huwa unaelewa maana ya inflation au mfumko wa bei? …
Nachoelewa ni
1.Tanzania hakuna mfumuko wa bei
2.Uzalishaji wa Madini umeongezeka
3.Wachimbaji Wanapewa mikopo
4.Wachimbaji wamefikishiwa umeme migodini
View: https://www.instagram.com/p/DLxR5mlIXW_/?igsh=MWVldG56eWt1eHJtNA==
Chiembe achaga mbwembwe basii,hizo zijengewe thamani na zionekane basi,na juhudi za kuziongezea thamani hatua kwa hatua utoe mrejesho kwa bidii hivi hivi..Ila kumbuka msemo kibaya chajitembeza na kizuri kinajiuza.
Iko wapi? Ilipoingizwa milion 10 ilionekana kuliko trilion hiiToka Nchi hii ya Tanzania ianze kuchimba na kuuza Madini ,Maduhuli na tozo za serikali haijawahi fikia Trilioni 1.
Ni katika awamu hii ya mama Samia ndipo Sekta ya Madini imeweza kukusanya Fedha nyingi zaidi.
Pia soma Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa | JamiiForums Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa
Haya yamewezekana sio Kwa bahati mbaya Bali Kwa juhudi za makusudi za serikali ya Rais Samia Kwa kufanya yafuatayo.
1.Kupunguza na kufuta tozo vikwazo Kwa wawekezaji na wachimbaji wadogo hivyo kuondoa tatizo la ukwepaji Kodi.
2.Kujenga masoko na Vituo vya kuzuia Madini Nchi nzima.
3.Kuwekeza kwa Wachimbaji Madini wadogo Kwa kuwanunulia Mitambo na kuwakopesha pesa.
4.Kupeleka Umeme kwenye migodi mikubwa na kidogo
5.Kupunguza masharti ya utoaji leseni Mpya.
6.Kufuta maeneo hodhi yasiyoendelezwa na kuwapa wawekezaji wengine hasa wachimbaji wadogo.
7.Kuanza kusafisha na kuchenjua Madini ndani ya Nchi
8.BoT kuanza kununua Madini ya Dhahabu.
My Take
Hongera sana Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Samia Kwa kuweka rekodi Mpya.
Namba hazidanganyi Kila sekta ni rekodi Juu ya rekodi,Haters wako qanatafutana kwa kupanga majungu upya maana kwenye delivery hawakuwwzi.
View attachment 3391409
Cc: Lucas MwashambwaToka Nchi hii ya Tanzania ianze kuchimba na kuuza Madini ,Maduhuli na tozo za serikali haijawahi fikia Trilioni 1.