Makwizi Band
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 2,691
- 4,057
๐ฎ๐ฎ๐ฎIko wapi? Ilipoingizwa milion 10 ilionekana kuliko trilion hii
Yaani mkuu huyu mama anakuzwa hata kwa vitu yeye mwenyewe havijui...na ukizingatia tena ni kilazaa ndio inakuwa komedi kabisaa!Nimeishia kusoma pale uliposema "toka awamu hi ya mama Samia" nikajua huko mbeleni ni utumbo tu. Since mama kaingia madarakani, kapitisha sheria ipi mpya ya madini? Ni kweli mama anafanya kazi nzuri, lakini nsipende kusifia hata ambavyo yeye hajafanya; the truth of this revenue is, "bei ya madini kwenye soko la dunia imepanda mno tokea historia ya dunia" then kama bei iko ju, automatic hata kodi itakua kubwa. Wakati wa JK, kwa muda mrefu bei ya dhahabu ilikua dola 1200 kwa unit moja, hadi Magufuli anafariki ilikua maximum dola 1800 katika soko la dunia, Since mwaka juzi, dhahabu na almasi vimekua vinapansa bei sana na hasa baada ya vita vya Russia na Ukraine, as we speak bei imefika dola 3300+ hi bei haijawahi kuwepo since dunia inaanza. Muwage mnasoma soma basi hata mitandao au pitia pitia habari za biashara kule BBC au Al Jazeera, haya mambo yapo huko yanatangazwa
Shughuli zote hizo zilianza kutekelezwa na Magufuli.Toka Nchi hii ya Tanzania ianze kuchimba na kuuza Madini ,Maduhuli na tozo za serikali haijawahi fikia Trilioni 1.
Ni katika awamu hii ya mama Samia ndipo Sekta ya Madini imeweza kukusanya Fedha nyingi zaidi.
Pia soma Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa | JamiiForums Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa
Haya yamewezekana sio Kwa bahati mbaya Bali Kwa juhudi za makusudi za serikali ya Rais Samia Kwa kufanya yafuatayo.
1.Kupunguza na kufuta tozo vikwazo Kwa wawekezaji na wachimbaji wadogo hivyo kuondoa tatizo la ukwepaji Kodi.
2.Kujenga masoko na Vituo vya kuzuia Madini Nchi nzima.
3.Kuwekeza kwa Wachimbaji Madini wadogo Kwa kuwanunulia Mitambo na kuwakopesha pesa.
4.Kupeleka Umeme kwenye migodi mikubwa na kidogo
5.Kupunguza masharti ya utoaji leseni Mpya.
6.Kufuta maeneo hodhi yasiyoendelezwa na kuwapa wawekezaji wengine hasa wachimbaji wadogo.
7.Kuanza kusafisha na kuchenjua Madini ndani ya Nchi
8.BoT kuanza kununua Madini ya Dhahabu.
My Take
Hongera sana Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Samia Kwa kuweka rekodi Mpya.
Namba hazidanganyi Kila sekta ni rekodi Juu ya rekodi,Haters wako qanatafutana kwa kupanga majungu upya maana kwenye delivery hawakuwwzi.
View attachment 3391409
Mbona unatuchanganya? Mbona ni kama BOT ndio imenunua dhahabu za 700 Billion na sio kwamba ni exports. Embu tunaomba ufafanuzi
Madini Kwa ujumla wale ambayo yamekuwa exported yameingiza Fedha zaidi ya Dola Bilioni 3 au Trilioni 7 hizi ni kodi na forex ambazo muuzaji akibadilisha anapata hela yake ila firex zinabakia BOT.Mbona unatuchanganya? Mbona ni kama BOT ndio imenunua dhahabu za 700 Billion na sio kwamba ni exports. Embu tunaomba ufafanuzi