Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Sabato imewadia tuweke silaha chiniUsiishi kwa mazoea! Dunia ya sasa si ya kale... Sabato kwako imeshawadia muda huu?
Hata hujui sabato inaanza majira gani?!Usiishi kwa mazoea! Dunia ya sasa si ya kale... Sabato kwako imeshawadia muda huu?
Sabato ni kinywaji gani?Hata hujui sabato inaanza majira gani?!
Inauma sema ndio hivyo hatuna jinsiHuku tunaongozwa na Mzanzibari na maisha yanaendelea.
Uzuri hatagombea 2025Inauma sema ndio hivyo hatuna jinsi
Atagombea tu, hata 2030 yumoUzuri hatagombea 2025
Prof. George Saitoti, Maasai wa watu.Hivi George Saitoti alikuwa Mkikuyu. Alikuwa naibu Rais wa Moi kama sijakosea. Mtarekebisha kumbukumbu yangu
Nani kati yao hajakatwaWadau hamjamboni nyote?
Historia imeandikwa nchini Kenya
Naam Serikali inakwenda ongozwa na Rais na Naibu Rais ambaye hakuna hata mmoja atokaye kabila kubwa kabisa la Wakikuyu
Kawaida Rais akiwa mkikuyu Naibu hutoka kabila jingina na ikitokea Rais siyo mkikuyu Naibu wake Huwa mkikuyu
Niwatakie sabato njema