Kwa mara ya kwanza Kenya itaongozwa na Rais pamoja na Naibu Rais ambao hakuna hata mmoja anayetokea kabila la Wakikuyu

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Historia imeandikwa nchini Kenya

Naam Serikali inakwenda ongozwa na Rais na Naibu Rais ambaye hakuna hata mmoja atokaye kabila kubwa kabisa la Wakikuyu

Kawaida Rais akiwa mkikuyu Naibu hutoka kabila jingina na ikitokea Rais siyo mkikuyu Naibu wake Huwa mkikuyu

Niwatakie sabato njema
 
Usiishi kwa mazoea! Dunia ya sasa si ya kale... Sabato kwako imeshawadia muda huu?
 
Huku tunaongozwa na Mzanzibari na maisha yanaendelea.
 
Hivi George Saitoti alikuwa Mkikuyu. Alikuwa naibu Rais wa Moi kama sijakosea. Mtarekebisha kumbukumbu yangu
 
Prof. George Saitoti, Maasai wa watu.
Usipate taabu, wapotezee tu. Humu jamiiforums pia Kuna mabumunda ya kutosha tu.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Historia imeandikwa nchini Kenya

Naam Serikali inakwenda ongozwa na Rais na Naibu Rais ambaye hakuna hata mmoja atokaye kabila kubwa kabisa la Wakikuyu

Kawaida Rais akiwa mkikuyu Naibu hutoka kabila jingina na ikitokea Rais siyo mkikuyu Naibu wake Huwa mkikuyu

Niwatakie sabato njema
Nani kati yao hajakatwa
 
Back
Top Bottom