Kwa mara ya kwanza kombe la dunia halitakuwa na mvuto, mimi MakinikiA sitaangalia

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
On February 28, FIFA and UEFA, under recommendations from IOC, suspended Russia and Russian clubs from participating in the their competitions including the 2022 World Cup.

Tulikubaliana siasa isiingie kwenye Mpira why now, mbona USA aliingia Iraq bila kibali cha UN .
Wapumbavu sana wote waliohusika kupitisha hill.

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amejibu ukosoaji unaotolewa kwa Russia kuhusu madai ya ukiukwaji haki za Binadamu akisema huu ni unafiki wa Mataifa ya Magharibi.

Infantino ameyasema hayo leo siku moja tu kabla ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Dunia kesho Jumapili
 
Don't get deceived siasa inaingia popote ambapo kuna maslahi ya kufanya hivyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kila kitu hapa duniani ni siasa huwezi kutenganisha siasa na maisha ya kila siku ya mwanadamu.

Hata hizo dini ni siasa tupu hakuna pahala popote ambapo Mungu aliiziidhinisha hizo dini na hata Yesu alipokuja duniani hakuongelea kabisa neno dini kama hizi tunazoziona leo ila hizi ni siasa tu.

Michezo imewahi kuleta vita na uhasama. Niliwahi kuona mechi moja ya kombe la dunia nafikiri ilikuwa mwaka 1998 kule Ufaransa kati ya Marekani na Iran ilikuwa ni balaa tupu sasa inaweza ikaweje kama Russia akipangwa mfano kucheza na Ukraine au nchi yoyote ya Nato.

Ngoja tu hao Russia wawekwe pembeni hadi akili zitakapowarudia vinginevyo watapeleka vita hadi kwenye viwanja vya michezo.
 
Nakubali mkuu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom