Kwa mara ya kwanza kombe la dunia halitakuwa na mvuto, mimi MakinikiA sitaangalia

Mechi imeisha hapa; wazee wa vyeti vya ndoa kama kawa kama dawa! Chali.
 
On February 28, FIFA and UEFA, under recommendations from IOC, suspended Russia and Russian clubs from participating in the their competitions including the 2022 World Cup.

Tulikubaliana siasa isiingie kwenye Mpira why now, mbona USA aliingia Iraq bila kibali cha UN .
Wapumbavu sana wote waliohusika kupitisha hill.

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amejibu ukosoaji unaotolewa kwa Russia kuhusu madai ya ukiukwaji haki za Binadamu akisema huu ni unafiki wa Mataifa ya Magharibi.

Infantino ameyasema hayo leo siku moja tu kabla ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Dunia kesho Jumapili
Usichokijua mataifa mengi yanataman marekan aanguke ili watese dunia vzr wakwanz ni Urus wapili Iran pia N.Korea
 
On February 28, FIFA and UEFA, under recommendations from IOC, suspended Russia and Russian clubs from participating in the their competitions including the 2022 World Cup.

Tulikubaliana siasa isiingie kwenye Mpira why now, mbona USA aliingia Iraq bila kibali cha UN .
Wapumbavu sana wote waliohusika kupitisha hill.

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amejibu ukosoaji unaotolewa kwa Russia kuhusu madai ya ukiukwaji haki za Binadamu akisema huu ni unafiki wa Mataifa ya Magharibi.

Infantino ameyasema hayo leo siku moja tu kabla ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Dunia kesho Jumapili
Infantino: "Today I feel Qatari, I feel Arab, I feel African, I feel gay, I feel disabled, I feel a migrant worker.... For what we Europeans have been doing around the world in the last 3,000 years we should be apologising for the next 3,000 years before starting to give moral lessons"
 
Back
Top Bottom