Siasa na michezo vinaingiliana? Tuanzie hapo.... Russia ameua wa-Ukraine wengi sana bila sababu! Bila Marekani ugaidi ungekuwa ndio unatawala dunia kwa sasa.
Don't get deceived siasa inaingia popote ambapo kuna maslahi ya kufanya hivyo.On February 28, FIFA and UEFA, under recommendations from IOC, suspended Russia and Russian clubs from participating in the their competitions including the 2022 World Cup.
Tulikubaliana siasa isiingie kwenye Mpira why now, mbona USA aliingia Iraq bila kibali cha UN .
Wapumbavu sana wote waliohusika kupitisha hill.
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amejibu ukosoaji unaotolewa kwa Russia kuhusu madai ya ukiukwaji haki za Binadamu akisema huu ni unafiki wa Mataifa ya Magharibi.
Infantino ameyasema hayo leo siku moja tu kabla ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Dunia kesho Jumapili
Vietnam walihusikaje na ugaidi.... Russia ameua wa-Ukraine wengi sana bila sababu! Bila Marekani ugaidi ungekuwa ndio unatawala dunia kwa sasa.
Libya.... Russia ameua wa-Ukraine wengi sana bila sababu! Bila Marekani ugaidi ungekuwa ndio unatawala dunia kwa sasa
Hujawahi kua na akili wewe,Marekani kaua watu wangapi? kuanzia Afhanistan,Iraq,Libya,Somalia na kwingineko,Yahudi wa Nzega una matatizo aisee..... Russia ameua wa-Ukraine wengi sana bila sababu! Bila Marekani ugaidi ungekuwa ndio unatawala dunia kwa sasa.
Huyo unayemuuliza hana ajualo,akisha ona tu jina la USA au Mayahudi hua anakurupuka bila hata kujua thd inahusu nini.Siasa na michezo vinaingiliana? Tuanzie hapo
.... Russia ameua wa-Ukraine wengi sana bila sababu! Bila Marekani ugaidi ungekuwa ndio unatawala dunia kwa sasa.
mkuu binafsi nikiona mtu anazungumza sana kuhusu west behind of scn there something wrong brain zao ziko na damage nyingiHujawahi kua na akili wewe,Marekani kaua watu wangapi? kuanzia Afhanistan,Iraq,Libya,Somalia na kwingineko,Yahudi wa Nzega una matatizo aisee.
Labda ugaidi wa wao kuiba mafuta.... Russia ameua wa-Ukraine wengi sana bila sababu! Bila Marekani ugaidi ungekuwa ndio unatawala dunia kwa sasa.
Siasa na michezo vinaingiliana? Tuanzie hapo
Je unajua kuwa Tunisia walilazimika kujieleza baada ya waziri wa michezo kuingilia masuala ya soka nchini mwao?Ndio, vinaingiliana.
Huyu ajui kwamba siasa ni maisha ipo pande zoteDon't get deceived siasa inaingia popote ambapo kuna maslahi ya kufanya hivyo.
#MaendeleoHayanaChama
Nakubali mkuuKila kitu hapa duniani ni siasa huwezi kutenganisha siasa na maisha ya kila siku ya mwanadamu.
Hata hizo dini ni siasa tupu hakuna pahala popote ambapo Mungu aliiziidhinisha hizo dini na hata Yesu alipokuja duniani hakuongelea kabisa neno dini kama hizi tunazoziona leo ila hizi ni siasa tu.
Michezo imewahi kuleta vita na uhasama. Niliwahi kuona mechi moja ya kombe la dunia nafikiri ilikuwa mwaka 1998 kule Ufaransa kati ya Marekani na Iran ilikuwa ni balaa tupu sasa inaweza ikaweje kama Russia akipangwa mfano kucheza na Ukraine au nchi yoyote ya Nato.
Ngoja tu hao Russia wawekwe pembeni hadi akili zitakapowarudia vinginevyo watapeleka vita hadi kwenye viwanja vya michezo.