Je unajua kuwa Tunisia walilazimika kujieleza baada ya waziri wa michezo kuingilia masuala ya soka nchini mwao?
Utawaita Matelaban ni watu ? Au wauajiiHujawahi kua na akili wewe,Marekani kaua watu wangapi? kuanzia Afhanistan,Iraq,Libya,Somalia na kwingineko,Yahudi wa Nzega una matatizo aisee.
RUSSIA kaua magaidi hakuna RAIA hata mmoja alioguswa.... Russia ameua wa-Ukraine wengi sana bila sababu! Bila Marekani ugaidi ungekuwa ndio unatawala dunia kwa sasa.
PUMBAVU. Vikundi vyote vya ugaidi vinafadhiriwa na marekaniBila Marekani ugaidi ungekuwa ndio unatawala dunia kwa sasa.
Bwana Utam, mambo yenu mazuri huko Qatar! Ha ha ha.RUSSIA kaua magaidi hakuna RAIA hata mmoja alioguswa
RUSSIA aendelee kuua MAGAIDI
Sent using Jamii Forums mobile app
Usichokijua mataifa mengi yanataman marekan aanguke ili watese dunia vzr wakwanz ni Urus wapili Iran pia N.KoreaOn February 28, FIFA and UEFA, under recommendations from IOC, suspended Russia and Russian clubs from participating in the their competitions including the 2022 World Cup.
Tulikubaliana siasa isiingie kwenye Mpira why now, mbona USA aliingia Iraq bila kibali cha UN .
Wapumbavu sana wote waliohusika kupitisha hill.
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amejibu ukosoaji unaotolewa kwa Russia kuhusu madai ya ukiukwaji haki za Binadamu akisema huu ni unafiki wa Mataifa ya Magharibi.
Infantino ameyasema hayo leo siku moja tu kabla ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Dunia kesho Jumapili
mbona Russia kalipua viwanja vya michezo huon kaingiza sias kweny michezo ? au Urusi kutoshiriki WC inauma kuliko vifo anavyosababisha huko UkraineSiasa na michezo vinaingiliana? Tuanzie hapo
Hao wote uliowataja walikuwa na elements za udikteta na ugaidi, ila Ukraine ni nchi inayofuata misingi ya kidemokrasia.Libya
Iraq
Afghan
Yemen
Syria
Palestina
Huko kote wana haki zaidi ya Ukraine.
Tafakari kabla haujasema
Duh we jamaa wewe..... Russia ameua wa-Ukraine wengi sana bila sababu! Bila Marekani ugaidi ungekuwa ndio unatawala dunia kwa sasa.
Duh pole mzeebaba/mama.... Russia ameua wa-Ukraine wengi sana bila sababu! Bila Marekani ugaidi ungekuwa ndio unatawala dunia kwa sasa.
Infantino: "Today I feel Qatari, I feel Arab, I feel African, I feel gay, I feel disabled, I feel a migrant worker.... For what we Europeans have been doing around the world in the last 3,000 years we should be apologising for the next 3,000 years before starting to give moral lessons"On February 28, FIFA and UEFA, under recommendations from IOC, suspended Russia and Russian clubs from participating in the their competitions including the 2022 World Cup.
Tulikubaliana siasa isiingie kwenye Mpira why now, mbona USA aliingia Iraq bila kibali cha UN .
Wapumbavu sana wote waliohusika kupitisha hill.
Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amejibu ukosoaji unaotolewa kwa Russia kuhusu madai ya ukiukwaji haki za Binadamu akisema huu ni unafiki wa Mataifa ya Magharibi.
Infantino ameyasema hayo leo siku moja tu kabla ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la Dunia kesho Jumapili