Kwa mara ya kwanza leo nimekunywa bia

Kwa mara ya kwanza leo nimekunywa bia

Redpanther

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2019
Posts
2,823
Reaction score
3,816
Habari za wakati huu wanaJf,

Ni asubuhi tulivu watu mko katika majukum yenu ya kila siku. Eeeh bhana leo kwa mara ya kwanza nimeamua kunywa Bia nijue Inaleta feeling gani mpaka watu wanakesha Bar au Wakati mwingine kutelekeza familia zao.

Nimeanza Castle lite, Ni chungu [emoji36][emoji36]ila ngoja nijikaze tu mpaka iishe nione nitakuwaje baada ya hapo. Sitaki kuwa mtu wa kusimuliwa utamu wakati utamu wenyewe naweza upata kwa hela zangu.

Nimewahi kutumia wine zenye 15% Alcohol, I didn’t feel anything exciting about it. Wacha nijaribu sasa hili dude.

image-2021-04-29-09:19:22-143.jpg
Hapo ilipofikia nimepamvana sana, ila nitajilazimisha iishe ili nione au ni feel hiyo feeling walevi inawachanganya.
Wish Me Luck [emoji18]
 
Na iwe mara yako ya mwisho kujaribu kila kitu unachosikia ni kitamu.... Ukiendelea hivo na kujaribu kila kitu utajikuta unajaribu uchoko, uteja,n.k

Nina Akili timamu, Siwezi jaribu upuuzi. Kuna Mzee wangu Mkubwa Anapigaga ni balaa sasa huwa namuliza mnapataga nini mkinywa Pombe ?? Aliwahi nambia, Pombe ni tamu sana Kijana wangu..! Siku ukiwa Mkubwa uje ujaribu kidogo uone
 
Back
Top Bottom