Kwa mara ya kwanza leo nimekunywa bia

Kwa mara ya kwanza leo nimekunywa bia

ladha yake ni kama kumbusu mwanamke,ila kula ngumu mzee lite waachie ile jinsia pedwa

Haha...! Duuh mbona hatari sasa, kama pamoja na uchungu wote huu ni ya Jinsia Pendwa. Wanazokunywa Wanaume wenzangu sijui itakuwaje ...! [emoji482][emoji481]
 
mi nikiwa nakunywa bia siwezag kumaliza bila kuchana chana vile vikaratas vinavyowekwa kwen bia,[emoji1][emoji1]

Hahaha...! Mie ni newbie, Hata sijui itakuwaje ila ngoja niisikilizie
 
Hata kuhesabu watu wanaanzia namba 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10 na hata unywaji the same hivyo hivyo so ukifikia kwenye makumi wewe sio mnywaji tena bali ni mlevi.
 
Mimi nliwahi jaribu nikia nimekaa sebuleni, tetemeko likapita nikadhani ni stimu ya ganja ndivyo inakuwa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata kuhesabu watu wanaanzia namba 1,2,3,4,5,6,7,8,9,10 na hata unywaji the same hivyo hivyo so ukifikia kwenye kumi wewe sio mnywaji tena bali ni mlevi.

Nitajicontrol mkuu. Ni suala la kujicontrol, ukiona umepita kiwango cha kawaida si vibaya kubaki hapo hapo usizidishe.
 
Jiandae kuwa maskini wa akili, mali na roho

Wewe ambaye hunywagi unamiliki Viwanda Vingapi vya Magari au Unamiliki makampuni mangapi ?? Acha kuwa na mawazo ya dizaini hiyo, Hata Biblia imesema tunapswa kuwa na kiasi kwa kila Jambo. Kutokuwa na kiasi katika kila Jambo ndio hupelekea watu Wehu, Walevi wakupindukia na Masikini.
Kwa mfano, ukiwa huna Kiasi kwenye mambo yako ya dini utakuwa masikini wa Kutupwa. So it is all about Temperance My fren
 
Yani lite alafu ndio unajifungia chumbani?? achana na hio itakuchelewesha sana kugundua unachotaka kufahamu. Vuta nondo aka Safari lager, mdomoni ladha tamu hizo utakunywa nyingi alafu sasa ndio utapata majibu unayotamani kuyapata.
 
Eeeeh [emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu acha tu, nimeamka na hilo wazo. Kazini naingia Mchana ikinizidi nalala tu naweka alarm Yangu ikifika saa sita hivi naamka najiandaa kazini hope pbe itakuwa imetoka
Hapo unazingua, kunywa bia jioni baada ya kazi ndiyo utasikia utamu wake au weekend unapiga bia zako kadhaa na nusu ya nyama pedwa kavu au rost.
 
Wewe ambaye hunywagi unamiliki Viwanda Vingapi vya Magari au Unamiliki makampuni mangapi ?? Acha kuwa na mawazo ya dizaini hiyo, Hata Biblia imesema tunapswa kuwa na kiasi kwa kila Jambo. Kutokuwa na kiasi katika kila Jambo ndio hupelekea watu Wehu, Walevi wakupindukia na Masikini.
Kwa mfano, ukiwa huna Kiasi kwenye mambo yako ya dini utakuwa masikini wa Kutupwa. So it is all about Temperance My fren


I am afraid your understanding, not only of specific issues, but even general knowledge, is obviously very poor & rudimentary. Msahafu ama Bible ikisema uwe na kiasi kwa mambo yote, haina maana kwamba umepewa ^pasipo-tea^ na Green Card ya kufakamia ^killer-key-2^ Which school did you go, even!??? 🙂

Last but not least, ukadiriaji wako wa mafanikio kwa kutumia idadi ya viwanda na magari amilikiyo mhusika ni hoja FUPI SANA isiyokubalika popote.
 
Back
Top Bottom