Kwa mara ya kwanza leo nimekunywa bia

Kwa mara ya kwanza leo nimekunywa bia

Yani lite alafu ndio unajifungia chumbani?? achana na hio itakuchelewesha sana kugundua unachotaka kufahamu. Vuta nondo aka Safari lager, mdomoni ladha tamu hizo utakunywa nyingi alafu sasa ndio utapata majibu unayotamani kuyapata.

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nitajaribu hiyo Jioni
 
I am afraid your understanding, not only of specific issues, but even general knowledge, is obviously very poor & rudimentary. Msahafu ama Bible ikisema uwe na kiasi kwa mambo yote, haina maana kwamba umepewa ^pasipo-tea^ na Green Card ya kufakamia ^killer-key-2^ Which school did you go, even!??? 🙂

Last but not least, ukadiriaji wako wa mafanikio kwa kutumia idadi ya viwanda na magari amilikiyo mhusika ni hoja FUPI SANA isiyokubalika popote.

Oooh What do you actually know about Taking beer Sips ?? Wanaokunywa bia wote ni masikini ??
 
Nimemaliza chupa moja nataka niongeze nyingine maana sifeel chochote [emoji16][emoji16]
Kama ni mara yako ya kwanza na umemaliza chupa moja haufeel chochote basi we ni una stress sio za dunia hii[emoji848]
 
Ili iweje Mkuu.! Sinywi zaidi ya Chupa Moja
Sasa chupa moja utaelewa vipi bia?

Gonga angalau 4 upate definition ya beer! Hio chupa alc vol. Itakuwa 4.3% nahisi kitu kama hicho sasa unatakiwa umeze walau 16% ndio uanze kuhisi kitu! Otherwise ni sawa na kula chapati moja na azam embe!
 
Habari za wakati huu wanaJf, Ni asubuhi tulivu watu mko katika majukum yenu ya kila siku. Eeeh bhana leo kwa mara ya kwanza nimeamua kunywa Bia nijue Inaleta feeling gani mpaka watu wanakesha Bar au Wakati mwingine kutelekeza familia zao.
Nimeanza Castle lite, Ni chungu [emoji36][emoji36]ila ngoja nijikaze tu mpaka iishe nione nitakuwaje baada ya hapo. Sitaki kuwa mtu wa kusimuliwa utamu wakati utamu wenyewe naweza upata kwa hela zangu.
Nimewahi kutumia wine zenye 15% Alcohol, I didn’t feel anything exciting about it. Wacha nijaribu sasa hili dude.
View attachment 1767229
Hapo ilipofikia nimepamvana sana, ila nitajilazimisha iishe ili nione au ni feel hiyo feeling walevi inawachanganya.
Wish Me Luck [emoji18]
Pole, mkuu. Usijipeleke jehanum ya moto, please.
 
Sasa chupa moja utaelewa vipi bia?

Gonga angalau 4 upate definition ya beer! Hio chupa alc vol. Itakuwa 4.3% nahisi kitu kama hicho sasa unatakiwa umeze walau 16% ndio uanze kuhisi kitu! Otherwise ni sawa na kula chapati moja na azam embe!

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ila nimepata kafeeling fulani hivi swaafi. Jioni mida ya saa moja natenga 15k najifungia nizikamue zote
 
Soma Warumi 14:1 - utaelewa vizuri alfu ndio uje hapa nione kama utaendelea kubwabwaja.!


Kwa taarifa yako, dhaifu wanaozungumziwa pale ni wenye ^mawazo^ ama understanding. Sasa wewe na kujipeleka kote huko kujaribu visivyojaribiwa, tambua wala hata ^car-bee-sir^ hauko karibu na kategori hiyo ya wenye rehma hiyo. Umenisikia Mr. Mlevi, au niongeze volume!???
 
Back
Top Bottom