Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Pombe zikiisha haujisikii vibaya, namaanisha kuhisi umefanya kitu ambacho usingependa kukifanya?Mimi hapana, kwanza mimi nikinywa huwa nakua mchangamfu sana na kama kuna watoto pembeni watafurahi nitawakusanya pamoja nakuanza kuwafundisha huwa inakuaga kituko sana ila wanainjoi, mimi huwa na kunywa kwa kiasi na pia huwa nazingatia mood,