Kwa mara ya kwanza leo nimekunywa bia

Kwa mara ya kwanza leo nimekunywa bia

Ongeza ya nyingine tano nitalipia mimi. Welcome to the world. Ukiona unaanza kuongea kiingereza na kuona kila demu mzuri rudi nyumbani
 
Kwa chupa moja mkuu hutapata kitu aisee. Halafu achana na castle lite na hili baridi hutapata stim mapema, piga konyagi au value. Ila kwakua we ni mgeni ungepiga safari kubwa moja au castle lager.
KARIBU CHAMANI

NAWASILISHA

Value tena ?? [emoji3][emoji3][emoji3] Ila Shukrani sana Mkuu nimekaribia.
 
Haya Mambo ya kujaribu.
Kuna dogo alijaribu banana.
Alishindwa kutembea akabaki anacheka Cheka tu
 
Vip, kingereza kinamwagika sawa sawa, maana niliwahi sikia kuwa ukilewa kingereza unaongea kama maji nanavyo mwagika
 
Habari za wakati huu wanaJf,

Ni asubuhi tulivu watu mko katika majukum yenu ya kila siku. Eeeh bhana leo kwa mara ya kwanza nimeamua kunywa Bia nijue Inaleta feeling gani mpaka watu wanakesha Bar au Wakati mwingine kutelekeza familia zao.

Nimeanza Castle lite, Ni chungu [emoji36][emoji36]ila ngoja nijikaze tu mpaka iishe nione nitakuwaje baada ya hapo. Sitaki kuwa mtu wa kusimuliwa utamu wakati utamu wenyewe naweza upata kwa hela zangu.

Nimewahi kutumia wine zenye 15% Alcohol, I didn’t feel anything exciting about it. Wacha nijaribu sasa hili dude.

Hapo ilipofikia nimepamvana sana, ila nitajilazimisha iishe ili nione au ni feel hiyo feeling walevi inawachanganya.
Wish Me Luck [emoji18]
Kuna mambo kama hujawahi kufanya ni suala lamkushukuru na kumwomba Mungu usithubutu kuyafanya.
 
Back
Top Bottom