Kwa mara ya kwanza leo nimeona kijiwe cha kahawa cha wanawake

Kwa mara ya kwanza leo nimeona kijiwe cha kahawa cha wanawake

Niwapenda hao wanawake. Walimwambia hali halisi. Ikabidi usalama waondoe microphone.

Ila hivi ni vitu muhimu apite kwa mama ntilie, bodaboda, hata vijiwe vya wanaume.

Atajua hali halisi. Changamoto za Watanzania.
 
CCM kwa maigizo hawajambo. Hakuna ubunifu wowote hapo zaidi ya kupoteza muda tu. Tungeni igizo lingine
 
Back
Top Bottom