Kwa mara ya kwanza leo nimepigana

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aisee πŸ™Œ
 
Angel Nylon embu pitia hapa utambie, ushawahi kupigana au kupiga mtu...
Mie si kwa ngumi wala mdomo. Sijawahi kugombana na mtu.
Nilikuwa na kamwili kadogo, so Nilikuwa nakaa mbali na ugomvi mana ningekuwa napigwa tu.
Ila mpambano me na brother sasa, daily ngumi...tumeacha kupigana tupo secondary na hapo tena yeye alikuwa ameshapanda hewani Nilikuwa simuwezi tena πŸ˜…
 
Kama ulikua unapigana na brother na anakunyosha inaonekana mwanamke mwenzako una mnyosha vizuri tu, sema una ji under estimate mwenyewe...

Kwa sasa unaweza kunyoshana kidogo na mwanamke mwenzako...
 
Afu hapana hakuwahi nitongoza, hata huo ukaribu sikuwahi kuwa nae.
Vile tyuuh ni mkorofi au mgomvi, kwa kivuli cha ulokole wake.

Ila angenitongoza ningemkataa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nasikia mkipigana mkija kutongizana hakunaga kuremba

Ni moja imo shwaaaa

🀣🀣🀣🀣🀣

Nachokupendea wewe ni mpole ila atakuwa alikuchokaza sana mpka upole ukapotea mtoto mzuri usiye jua shari aiseee

🀣🀣
 
Hivi babe unaujua ule wimbo wa songa unaoitwa 'usiku'?
 
The fight is for the restless goat that forgets the lion is watching
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…