Kwa mara ya kwanza leo nimepigana

Kama ulikua unapigana na brother na anakunyosha inaonekana mwanamke mwenzako una mnyosha vizuri tu, sema una ji under estimate mwenyewe...

Kwa sasa unaweza kunyoshana kidogo na mwanamke mwenzako...
Ah we, ugomvi wa ndugu tofauti na mtu wa nje. Ndugu atakuonea huruma, mnapigana baada ya dakika chache msharudi kuwa marafiki 😄
 
Unamshika chuchu analegea, kwani adui yako kawa mpenzi wako?
Mbona ulichoeleza siyo cha kigomvi bali ni 'action' za wapendanao sasa?
Ungelikuwa mwanaume hapo ni mvua tu, kumshika mwanamke kidhalilishaji ama kumshika kwa nia ovu.
Halafu kutokupigana huwa ni kudra za Mungu mwenyewe kukuepushia, lakini huwa si kwa utashi wako, huwezi.

Ni kama ajali za barabarani, hauwezi kujisifu kwa kuziepuka, ambapo unaweza kusababishiwa na zembe!
 
Aisee hatari sasa hamku haniana nguo mpaka sidiria na matiti yanaonekana? Basi hiyo sio fight
 
Amechelewa nina mume na michepuko sita
Kuna ubaya katika hao michepuko sita ukatoa m'moja mzembe ambaye hasimamii vizuri ligi ili mwanetu apate shavu japo hata tako tatu tu kwa mwezi sio mbaya.

Mpe fursa kijana wetu nakuahidi hatakuangusha.
 
Mimi ninachojua ukiwa mpole sana watu wanakuzoea vibaya Bora uwe mkali tu.

Hakuna sehemu utaheshimika Kwa kuwa mpole na mtakatifu....HAKUNA

Bora uonekane mbaya tu kwanza watu hawana shukrani.
 
Ujinga
 
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni hazina ya taifa na kielelezo cha uongozi wa kisasa unaojengwa juu ya hekima, uvumilivu na maono ya mbali. Ni kiongozi ambaye anasimamia misingi ya haki, usawa na maendeleo ya watu wote bila ubaguzi. Ujasiri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…