Kwa mara ya kwanza leo nimepigana

Mkuu wewe una bahati una hulka ya kike😄
Mimi nikipigana huwa narusha ngumi sijawahi kurusha Kofi, kwahyo mara zote huwa najiepusha kugombana na wanawake.
 
Izi njaa ndo ZINAFANYA tuendelee kuongozwa na chama kimoja Kila siku
 
yani mnanyukana kwa sababu ya wali mbegu ilitakiwa uwe mwelevu zaidi yake
 
Nenda kachome sindano meno ya mtu yana sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…