Kwa mara ya kwanza leo nimepigana

Inaonekana mlipigana zaidi ya hapo
Na majibizano zaidi ya hapo
 
Tumia Hekima na Busara kuepukana na Ugomvi
Huwa mtu kuna reaction fulani zinakuwa kwenye mind kabla hajareact kuna mahal alishindwa kuizuia anaamua kufanya hizo reaction
Lakini ukitumia njia ya kuzi ignore utaweza kutulia
Roho ya Ugomvi (spirit of conflict)
If you can ascend spirits in environment you can determine
Zikisha tumia Imagination ndani yako zinakuforce ukubali kureact
Then unashangaa kitu usichowah kufanya unafanya
Alf baadaye unajiuliza ilikuwaje na mimi sipo hivi
 
HHapo ndio umepigana! 🤣🤣🤣🤣
Kwel we nouma
Ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…