Kwa mara ya kwanza leo nimepigana

Nililishuhudia hili tukio. Kumbe yule ndio wewe? 😁😁😁
 
Wewe utakuwa mtumishi wa afya

Hongera kwa kuwahi chuchu

Angakuwa mwanume sijui ungewahi nini

🤣
 
Huyo mkaka mlokole ni mimi,
Tukutane basi ili tupatane tuwe marafiki,uadui uishe.
Yule mkaka hanisahau, yaan alikua anajiona yeye mkamilifu sana, au mtakatifu hivyo.

Mie namueleza wee mkamilifu na mtakatifu kuwa buzzy na hao watu wa aina yako, sisi wenye dhambi na maovu km unenavyo tuache tupotee, jehanam iliwekwa kwa ajili ya watu na watu hao wapo, nikiwepo na mie.

Nilitegemea ataelewa, eti linaleta ujuaji na ubabe, aaah wee nkasema leo tuoneshane Heshima na mipaka yake iwepo.

😂😂😂😂😂 nilijichukulia points,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…