Kwa mara ya kwanza leo nimepigana

Kumbe yule ndo wewe
 
Sio kweli
Basi kazini kwenu pana nifaa..
Mimi nimeshawahi kufukuzwa kazi mara mbili kwa kupigana...
Mara ya kwanza ilikuwa mgodini Bulyanhulu, kampuni ya wazungu, ni papo kwa hapo, unaweka vifaa chini unasindikizwa mpaka getini na security
na ya pili, nchi za watu huko nilikutana wa Albania wamepinda wao ugomvi kila kitu, halafu ukipigana nao wanakuchangia nilipiga wawili mara wanaitana bahati nzuri pona yangu meneja akasikia makelele yao akatokezea, kikaota nyasi mimi na wao watatu.
 
Ivi bado kuna watu wanapigana, any way una anger issues kjn usipojtathimini utaishia jela kwa kesi ya kujeruhi.
Lkn pia naona kama unahasira za maisha magumu tafuta tu ela kisitaarabu sawa
 
Acha wee

Hasira za mkisi
 
Mpola wa mawe au tumroge ogwo omufela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…