Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Pamoja mkuuNakubali sana mkuu..
Kila unachoongea kinatujenga sisi vijana...
🙌🙌🙌🙌Naweza sema wewe ni miongoni mwa ma genius waliobaki huku jf big up sana kaka
Nasikia kuna corona mpya mkuuPamoja mkuu
Pamoja mkuuDah wewe mzee leo umetema point kinyama. Big up
Wanasema hivyo ila siwezi ongelea kwa sababu sina-full picture ila mamlaka ndo wanatakiwa watoe taarifaNasikia kuna corona mpya mkuu
Mj sec imetoa ma genious,Mambo ntakayoyafanya nikìwa Rais wa Tanzania
Team Dennis 255713520180
- Kuboresha mazingira ya vyuo na kua ya kisaaa
- Kuanzisha journal zetu ambazo zitaboreshwa na hata watu wa mataifa mengine watakuwa proud kwa articles zao kuchapishwa kwenye journal za hapa Tanzania
View attachment 3346232
Umenìkumbusha mbali sanaMj sec imetoa ma genious,
Acha tuu...Ni ukweli vyuo vya Tanzania ni vichafu sana ukienda vyooni ni kuchafu sana, unajiuliza hapa kweli wanasoma wasomi wanatia aibu sana usafi ni kipengele kwa waafrika na watanzania wengi
Nimeangaika sana kutibu lile tatizo lake ya akili, ndio maana unaona leo hii raisi wenu kaanza kuongea madini Castle_LiteWakuu Castle_Lite na dosho12 rais Leo katema point zenye uhalisia wa kweli wa mazingira yetu
Ustaarabu ni changamoto kubwa sana Tanzania tatizo linaanzia kwenye maleziMwanafunzi wa chuo kikuu anakunya juu ya choo kweli? Ilinisikitisha Sana.
Watamuelewa tu kidogo kidogo, ila kwa upande wangu kila siku anatema point sema Kwa upande wa Astrophysics na quantum mechanics Tanzania bado tupo nyuma. Na hatuna curiosty nikisema yule sio ngombe wakati ni ngombe hakuna atayeuliza kwa nini ila watabisha wote acha bangi 😁😁😁Wakuu Castle_Lite na dosho12 rais Leo katema point zenye uhalisia wa kweli wa mazingira yetu