Mpanda hill
Member
- Jun 27, 2024
- 58
- 90
Nimeshamaliza mda sanaMzumbe ni chuo kizuri sana, nilifika hapo kwenye mahafali 24/11/2024 changamoto ni za kawaida, Ambazo ziko vyuoni na tasisi zingine, wengine walitamani kuingia hapo, lakini nafasi zimejaa, Kazana na masomo kijana,
Mazimbu campus ilikuwa sio nzuri sijajua sahiviKwenye mazingira sokoine university of agriculture(sua) siwadai.
Hicho sio chuo kikuu ila taasisi ya elimu ya juu. Ni mojawapo ya vyuo vilivyo Ki-secondary sana.Mambo ntakayoyafanya nikìwa Rais wa Tanzania kwa Kuboresha mazingira ya vyuo na kua ya kisaaa kama ifuatayo
Team Dennis 255713520180
- Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali barabara zote zinapigwa lami
- Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali kunapigwa pavement hapawi na vumbi
- Vyoo vinatoa maji 24/7
- Majengo yanaboreshwa yale yaliyochoka
View attachment 3347409
Sasa huko alipotoka alikuwa anakunya mapolini,haishangazi.Mwanafunzi wa chuo kikuu anakunya juu ya choo kweli? Ilinisikitisha Sana.
Mikakati ipo ndo hii nafanyaUnasema ukiwa Rais sasa utakuwaje Rais na hatukuoni kwenye mikakati yeyote? Au Rais wa ndotoni
Sawa Kila la heri kiongoziMikakati ipo ndo hii nafanya
Cha kwanza nikuelezea watu maoni mbalimbali niliyonayo kama navyofanya sahivi
PamojaSawa Kila la heri kiongozi
Kwani wewe namba yako ya simu unaitumia kwa kazi gani???Hiyo namba vipi, tutume muamala?
Yes zamani ilikuwa kama majengo ya sekondariMazimbu campus ilikuwa sio nzuri sijajua sahivi