Kwa Mara ya kwanza napigana kisa ulevi

Ctech

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
754
Reaction score
818
Habari za siku wakubwa

Daah Najilaumu sana.. Jana kwa mara ya kwanza nimepigana kwa sababu ya kulewa..

Leo nashindwa kwenda Hata mtaani kwa sababu ya aibu tele kama hii.. watu ninaoheshimiana nao wameniona Nikipigana.

Pombe mbaya jamani mnaishia kuumizana asubuhi ukiamka ndo unayapata Maumivu na akili ndo zinarudi!

Natoka Rasmi Chamani kuanzia leo!

Santana
 
Unashangaa kupigana wakati umeelewa; seriously?! Si bora ungekuwa umeamulia ugomvi wakati umelewa ndo ungejishangaa!
 
Acha ulevi bro,pombe zimeshakuwa mzigo kwako,ipo siku utadhalilika zaidi ya hapo

Kupigana tu bila kujali umempiga au umepigwa ni kujidhalilisha kulikotukuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…