Habari za siku wakubwa
Daah Najilaumu sana.. Jana kwa mara ya kwanza nimepigana kwa sababu ya kulewa..
Leo nashindwa kwenda Hata mtaani kwa sababu ya aibu tele kama hii.. watu ninaoheshimiana nao wameniona Nikipigana.
Pombe mbaya jamani mnaishia kuumizana asubuhi ukiamka ndo unayapata Maumivu na akili ndo zinarudi!
Natoka Rasmi Chamani kuanzia leo!
Santana