Acha aisee NimeamuaNakwambia waacha pombe huwa hawaagi ww umepumzika mkuu
Kweli kabisaAcha ulevi bro,pombe zimeshakuwa mzigo kwako,ipo siku utadhalilika zaidi ya hapo
Kupigana tu bila kujali umempiga au umepigwa ni kujidhalilisha kulikotukuka
Bora tu niwe NalalaUnaachaje pombe kizembe hivyo mkuu? Halafu ule muda uliokua unakunywa pombe utautumiaje sasa?
kabisa mkuu ... habari salamaUnajua kinaweza kuandikwa kitu ukaishia kushangaa tu
Daah sio poaJPM amezidi kukaza vyuma mweeeeeeeeeee!!!
Anayeacha pombe anasema basi achana na gambe bana
[emoji23][emoji23][emoji23] Naona mnafanya juhudi za kumbakiza mwanachama chamani!Ni hangover tu hiyo wewe huwezi acha pombe kibwege hvyo,,hembu pata safari ya baridi akili ikukae sawa
Labda anataka kuwa mchawiUnaachaje pombe kizembe hivyo mkuu? Halafu ule muda uliokua unakunywa pombe utautumiaje sasa?
Sasa kupigana tu unaacha??daah acha mkuu tena nmepigana na mchizi wangu ase
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Usinywe safari kirikuu yani hii pombe lazima upigane tu
Sijui wameweka nini mule
Njema kabisa shemeji mkuukabisa mkuu ... habari salama
Wenyewe wanasema "toa loki"Ni hangover tu hiyo wewe huwezi acha pombe kibwege hvyo,,hembu pata safari ya baridi akili ikukae sawa
Ndo kinachoenda kutokeALabda anataka kuwa mchawi
HahahaahhaaaUsinywe safari kirikuu yani hii pombe lazima upigane tu
Sijui wameweka nini mule
Daah pole sana Mkuumimi niliacha pombe baada ya kuruka kwenye boda, yaani wakati boda inaenda kasi sana mbele kulikuwa kuna kidimbwi cha maji nilivyo kiangalia kutokana na gambe iliyopo kichwani nikajua msela ananipeleka baharini bila ajizi niliruka nikaja kushtuka siku ya pili nipo hospital mkono una p.o.p na meno mawili yamevunjika, nikainua mikono juu kwa Mungu baba