Kwa Mara ya kwanza napigana kisa ulevi

Kwa Mara ya kwanza napigana kisa ulevi

Si ulikua umelewa lakini basi simple watu wanajua ulikua umelewa
 
mimi niliacha pombe baada ya kuruka kwenye boda, yaani wakati boda inaenda kasi sana mbele kulikuwa kuna kidimbwi cha maji nilivyo kiangalia kutokana na gambe iliyopo kichwani nikajua msela ananipeleka baharini bila ajizi niliruka nikaja kushtuka siku ya pili nipo hospital mkono una p.o.p na meno mawili yamevunjika, nikainua mikono juu kwa Mungu baba
 
Daah pole sana Mkuu
 
Back
Top Bottom