Kwa Mara ya kwanza napigana kisa ulevi

Ebu jioni tukutane sehemu tupate mbili tatu ili tukiangalia jinsi gani ya kusolve issue yako
 
We kweli kichaa
 
Hii chai mkuu yani mkono umevunjika , mala ukanyanyua mikono juu kwa mungu
 
Mmoja alisema anaacha anaacha hakuacha. Majuzi watoto wakampasulia yai kajikuta kalooooooa asubuhi. Usiache bana.
 
Hongera kijana, baadae wanachama tutakaa tujadili namna ya kukuaga angalau kila mmoja apate balimi mbili mbili, tafadhali usituangushe balimi mbili hazileweshi kabisa.
Huo uanachama wa balimi umeuanza lini tena? Wewe si tulishakuaga na tukahakikisha umeingia chama cha wanywa soda?[emoji848]
 
Hii chai mkuu yani mkono umevunjika , mala ukanyanyua mikono juu kwa mungu
yaani maana yangu ni kwamba baada ya tukio lile nilipopona nikamrudia MUUMBA WETU nakuacha kabisa gambe, kishughulishe kichwa chako kidogo mkuu, upo GT hapa
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ukiambiwa Pombe ni dhambi hamsikii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…