Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Kwa mara ya kwanza nathubutu kugombea Ubunge

Hufai hata balozi wa nyumba 10 pale Madunga wewe
nilifanya hiyo kazi kwa zaid ya miaka 6 mtaani, nikiwa kwa nyumba ya kupanga, niliaminika na kufanya kazi kwa juhudi na uwazi sana :pedroP:
 
Silinde alitoka chuoni 2010 akagombea na akashinda mwaka ule ule
huyo si wale wa kushikwa mkono tu na kielekezwa kaa hapa, fanya vile n.k,

ni mtu mzima lakini bado anaishi kwa wazazi, hajiamini na hawezi kua committed kufikia ndoto zake bila kushikwa mkono mwenyewe hawez:pedroP:
 
Muhimu inawezekana ukatoka chuo ukashinda ubunge wapo wengi kina mkomasamali na John mnyika swala la mtu anakaa wapi sio shida
 
Back
Top Bottom