ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 May 21, 2024 #281 Hufai hata balozi wa nyumba 10 pale Madunga wewe
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 May 21, 2024 #282 de Gunner said: Hivi na nyie mnaamini kweli kuwa collage graduate anaweza pata ujasiri wa kugombea ubunge? Stop playing with keyboard mkuu🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Silinde alitoka chuoni 2010 akagombea na akashinda mwaka ule ule
de Gunner said: Hivi na nyie mnaamini kweli kuwa collage graduate anaweza pata ujasiri wa kugombea ubunge? Stop playing with keyboard mkuu🤣🤣🤣🤣 Click to expand... Silinde alitoka chuoni 2010 akagombea na akashinda mwaka ule ule
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 May 21, 2024 Thread starter #283 ILAN RAMON said: Hufai hata balozi wa nyumba 10 pale Madunga wewe Click to expand... nilifanya hiyo kazi kwa zaid ya miaka 6 mtaani, nikiwa kwa nyumba ya kupanga, niliaminika na kufanya kazi kwa juhudi na uwazi sana
ILAN RAMON said: Hufai hata balozi wa nyumba 10 pale Madunga wewe Click to expand... nilifanya hiyo kazi kwa zaid ya miaka 6 mtaani, nikiwa kwa nyumba ya kupanga, niliaminika na kufanya kazi kwa juhudi na uwazi sana
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 May 21, 2024 Thread starter #284 ILAN RAMON said: Silinde alitoka chuoni 2010 akagombea na akashinda mwaka ule ule Click to expand... huyo si wale wa kushikwa mkono tu na kielekezwa kaa hapa, fanya vile n.k, ni mtu mzima lakini bado anaishi kwa wazazi, hajiamini na hawezi kua committed kufikia ndoto zake bila kushikwa mkono mwenyewe hawez
ILAN RAMON said: Silinde alitoka chuoni 2010 akagombea na akashinda mwaka ule ule Click to expand... huyo si wale wa kushikwa mkono tu na kielekezwa kaa hapa, fanya vile n.k, ni mtu mzima lakini bado anaishi kwa wazazi, hajiamini na hawezi kua committed kufikia ndoto zake bila kushikwa mkono mwenyewe hawez
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 May 21, 2024 #285 Tlaatlaah said: huyo si wale wa kushikwa mkono tu na kielekezwa kaa hapa, fanya vile n.k, ni mtu mzima lakini bado anaishi kwa wazazi, hajiamini na hawezi kua committed kufikia ndoto zake bila kushikwa mkono mwenyewe hawez Click to expand... Muhimu inawezekana ukatoka chuo ukashinda ubunge wapo wengi kina mkomasamali na John mnyika swala la mtu anakaa wapi sio shida
Tlaatlaah said: huyo si wale wa kushikwa mkono tu na kielekezwa kaa hapa, fanya vile n.k, ni mtu mzima lakini bado anaishi kwa wazazi, hajiamini na hawezi kua committed kufikia ndoto zake bila kushikwa mkono mwenyewe hawez Click to expand... Muhimu inawezekana ukatoka chuo ukashinda ubunge wapo wengi kina mkomasamali na John mnyika swala la mtu anakaa wapi sio shida