Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 100 Urusi imeshindwa kulipa madeni

Mchina hana urafiki wa kudumu, yeye hufuata maslahi, kwa sasa kwa namna urusi alivyopigika ndio fursa ya Mchina kumnyofoa kila alicho nacho kimya kimaya, na ole wake Urusi ashindwe kulipa deni la Mchina.
Mchina ni rafiki wa kweli kwa Urusi kuliko US na vijakazi wake, Urusi yupo sehemu salama kabisa, nyie endeleeni kuhudumia wakimbizi wa Ukraine, maana hamna la kufanya, bila Putin tunge juaje kuwa hata wazungu wanaweza kuwa wakimbizi zama hizi, viva Putin
 
Hahahahah Putin ametuonyesha, yeyote anaweza kuwa mkimbizi
 

Mchina yupo kimaslahi siku zote na amegoma kuingia mkenge wa kijinga kama alivyoingia Urusi mpaka tukajua madhaifu yake, Mchina huchokozwa ila anaicheza kiaina na mpaka sasa hajafahamika udhaifu ake, ila Mrusi kafyatuka kijinga jinga sasa ameshasomwa na kuonwa hana lolote.
 
Kametushinda wakati tunafanya yetu bila tatizo lolote Donbas yote tushachukua yaani SASA hivi tushachukua asilimia 30 ya nchi alafu unasema wametushinda hivi unaakili kweli?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Kumbe unapenda kushangilia wizi? BAsi rekebisha kidogo takwimu yako. Eneo la Ukraine ianyoshikwa sasa na jeshi la Urusi ni 20%, si 30%. Tena Donbas bado (labda 2/3 za Donbas hadi sasa), lakini kwa matatizo makubwa. Taifa Teule lina matatizo kidogo kufikia shabaha, nisipokosei.
Kama kupoteza askari makumi elfu ni "bila tatizo lolote" - haya endelea kuota ndoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…