maandamano
JF-Expert Member
- Nov 12, 2025
- 726
- 1,548
Huo utafiti sijaufanya kwa siku moja,na nipo hapa zaidi ya miezi 2,yaani ni hatali,hebu fanya utafiti na wewe hapo ulipoSema tu akili yako ilikuja dar tayari na mtazamo wa kuona wale wanawake unaowaonaga kwenye tv ndo maana wasema dar kuna wanawake wengi
Kazi yangu nafanyia kwenye nyumba zao kufua nguoWanaume wako kazini mkuu sasa jiangalie tafuta kibarua nyumbani wanashida dada wa kazi
🤮🤮🤮🤮🤮🤮🤬🤬🤬🤬Yaani kwa tathimi yangu niliyoiona kuna wanawake wengi sana mpaka nimebaki najiuliza sasa wanaishije,kila nikitoka inje ni wanawake tu, si wamama,vibiti,na vitoto vya kike,
Tofauti na mkoani niliko toka hakuna mabinti wamejaa watu wazima hasa mabibi wajane,au ndiyo huwa wanakimbilia huku dar mabinti wa mikoani?
Marrrrrraaaangu
Yuko sahihi dsm kuna wanawake wengi sana kuliko mikoani,na dsm kuna kila aina ya sampuli ya wanawake.Sema tu akili yako ilikuja dar tayari na mtazamo wa kuona wale wanawake unaowaonaga kwenye tv ndo maana wasema dar kuna wanawake wengi
Naona wenzetu wanaona sawa tu,lakini sisi wa mikoani tunaona kuna kitu hakiko sawaYuko sahihi dsm kuna wanawake wengi sana kuliko mikoani,na dsm kuna kila aina ya sampuli ya wanawake.
Kwahiyo ulikuwa hujui?kwanza ulipaswa kuulizia makabila yao hao wanawake je ni wazaramu au makabila mengine,ukikuta ni makabila mengine ujuwe huku sio kwao wametoka huko,ila ukikuta ni wazaramo basi ujuwe sio wa huko kwenu...Yaani kwa tathimi yangu niliyoiona kuna wanawake wengi sana mpaka nimebaki najiuliza sasa wanaishije,kila nikitoka inje ni wanawake tu, si wamama,vibiti,na vitoto vya kike,
Tofauti na mkoani niliko toka hakuna mabinti wamejaa watu wazima hasa mabibi wajane,au ndiyo huwa wanakimbilia huku dar mabinti wa mikoani?