Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Concern nzuri sana hii mkuu. Sijui ni kwanini nime-assume tu kwamba bwana mdogo atakuwa anafanya bachelor yake ya kwanza [emoji28]. This may not be the case.Muulize kwanza yuko level gani?! Kama ni cheti achana nae katafute vijana wanaojitambua walio compentent na wanaojua wanachokifanya huko LinkedIn...
Naamini huyo dogo hata HTML haijui, unabisha panga appointment nae mpe assigment achape Code atengeneze neno "HELLO WORLD!"
Utaona vituko na Utaleta mrejeshi hapa [emoji23]
Hapo kwenye competence napo una point, kwasababu ipo tofauti kubwa kati ya proper qualifications na performance [emoji2].
Umewaza kiutu uzima ingawa dogo atadhani unamchomea kunguni [emoji16].