Kwa mara ya kwanza nimehisi kuwa na umuhimu

Usisahau zaka na sadaka hapo tenga kama millioni 1 ..then hyo million 5 iliyobaki nunua uwanja mkubwa sana hata wa million 3 then 2 nenda nayo taratbu kwa mambo mengine
NB;USISAHAU KUJIPONGEZA KWA KUFANYA JAMBO LINALOKUPA FURAHA SANA
Uwanja wa milion tatu mkubwa utapata wapi Muda huu labda nnje ya mji kwa km 70 Hadi 60 uatapata uwanja ila siyo mkubwa wa Sana kwa million tatu utapata kibaha kongowe 20 kwa 20
 
Wengi mnajaribu kumbishia mleta mada kuwa account haiwezi kusoma M8 lakini labda yeye alichokosea ni kuweka story yake nusu nusu au kutoiweka vizuri.


Yawezekana hizo M8 ni limbikizo tokea huko mwanzo wa mwaka aliposema kuwa ndio hiyo mishe imetiki. Pia amesema anaishi bila cost yoyote so hebu mpeni nafasi amalizie story au arekebishe kabla hamjambishia.
 
Daaah, kweli bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…