Kwa mara ya kwanza nimehisi kuwa na umuhimu

8M mwezi wa kwanza tu kazinii... na ulikuwa jobless nyumbani walikuwa wanakudharau??? duu maana wewe gross salary ni MIL 12 na zaidi hongera mkuuu
Kwan amesema hyo million 8 ni amelipwa mshahara wa mwez mmoja ?
 
Wtf!
 
Yani nilitoa ushauri mzuri sikujua kama mtoa mada amesema analipwa 8M owa mwezi?
Mm nilidhani amelipwa ya kujikimu na reallocation na pamoja na bonuses za kupata hyo kazi
 
😀 😀 😀 😀 😀 😀Yani wewe akili ndo huna aiseeee...Sasa hakuna sehemu kuna kodi siku hizi hasa kama unalipwa hela kubwa kama kwenye ORGANIZATION.
Really? Ntakuja kumuuliza HR vzr[emoji16]
 
Mdogo wangu, save money. Mungu na pesa ndio ndugu zako. Utakuja kunikumbuka.
 
Pesa sabuni ya roho, katika maisha ukipata baraka za wazazi umepata kila kitu na utabarikiwa.. Katoe sadaka ya shukrani kwa Mungu pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…