Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mara ya mwisho nilishare kwamba nimekua monetized kwenye chaneli yangu ya youtube ilikuwa mwezi wa kwanza kama sio wa pili.
Tokea mwezi wa pili nilipokuwa monetized mpaka kufikia mwezi wa saba ndio nilifanikiwa kufikisha 100USD ili kuweza kulipwa.
Mwezi huu ndio nimetumiwa hela baada ya kuweka details za account yangu ya benki.
Kwa kifupi nimetumia miezi kama 5 hivi mpaka kufikia mwezi May nilipofikisha 100usd kwa mara ya kwanza baada ya kuwa monetized kwenye chanel yangu ya YouTube.
NB: 1. Baada ya kutumwa ilitumia siku moja ku reflect kwenye account ya benki.
NB 2. Hii ela nimepanga kuagiza mic standard na kutengeneza custom email kwa ajili kuwasiliana na wateja!
NB 3. Kama una swali uliza hapa hapa kwa ajili ya manufaa ya wengine, NO PM!
NB 4: Jina la chaneli sinto share kwa ajili ya kumaintain "anonymity" hapa JF.
View attachment 2333318
View attachment 2333319
UPDATE:
1. Mwezi wa 12 mwaka 2022, yaani miezi 4 tangu nimepokea malipo ya kwanza, nimepokea malipo mengine!
2. 23/3/2024 nimepokea malipo