Kwa mara ya kwanza nimepokea hela kutoka YouTube/Adsense

Kwa mara ya kwanza nimepokea hela kutoka YouTube/Adsense

Naweza kuanza kushoot kwa kamera ya simu?
Mimi ndio nnayo tumia kuanzia video mpaka voice recording. Na kwa voice baada ya kuirekodi kwa simu nai edit kwa kutumia audacity!

Kwa kifupi inategemea na aina ya simu.

NB: Natumia Samsung.
 
Mwenye 200k alete nimuachie hii Channel..
Screenshot_20220911-112620_YouTube.jpg
 
Channel yako inatwaje tukufollow...

Mimi ni Youtuber pia
 
Mimi ndo nimeapply hapa kuwa monetized...

Nilianza youtube mwezi wa nne...

Video zangu zina views zaidi ya laki na nusu
 
Mimi ndo nimeapply hapa kuwa monetized...

Nilianza youtube mwezi wa nne...

Video zangu zina views zaidi ya laki na nusu
Kama Hutojali Mkuu Nitajie niche ya content zako. Au Jina la Channel Sisi Wote Familia Moja
 
Kama Hutojali Mkuu Nitajie niche ya content zako. Au Jina la Channel Sisi Wote Familia Moja
Mimi ni exploration videos...naexplore maendeleo, vivutio na maeneo mbalimbali ya Tz..hasa hapA Dar...

Natumia kingereza ndo maana audience yangu zaidi ya 70% ni nje hasa US, Uk and Kenya...

Kama unataka kujua jina njoo Pm
 
Hapo kwenye lugha umefanya la maana. Binafsi kutokana na lugha audience wangu wengi ni kutoka USA, Philipines, India na Ethiopia...
 
Back
Top Bottom