Kwa mara ya kwanza nimepokea hela kutoka YouTube/Adsense

Hii unatengenezaje na kwa program hipi nzuri maana mm nilikuwa najiuliza unafanyaje msaada mkuu
Hizi ndio software unazowezA tumia
1. Canva
2. Photoshop/gimp

Lakini cha muhim sio software tu ni lazima ujue jinsi ya ku design kitu ambacho mtu akikiona lazama akliki! Na hapa ndio zinakuja knowledge nyingine kama saikolojia, copywritting nk nk!
 
Hakuna jambo rahisi. Dola mia 6month.

Tunaloose focus sababu ya vitu vidogo.

Huo ni mwanzo, Anaweza kumake zaidi as time goes.

Nianzaga kufanya kazi upwork 2006 na kazi yangu ya kwanza nililipwa $3 tu. Unfortunately utoto ulikuwa mwingi sikuendelea. Lakini huenda ningekuwa mbali sana saiv.

Mimi mwenyewe naanzisha Youtube channel soon.

Nimeshaagiza Go Pro Hero 9 na strap yake ya kuvaa kichwani.

Youtube Channel itakuwa kwa Kiingereza while Tiktok ndio nitakuwa napost content za kiswahili.
 
Upo sawa boss, ila uhalisia unabaki pale pale. Hakuna kazi raisi. Ugumu, uhitajikaji na risk ndo inapelekea kupata kikubwa au kodogo. Pambana mkuu.
 
Ndio mkuu, nakumbuka kifungo cha miaka kadhaa ama faini 5m. Vipi, bado ipo hii sheria?
Sheria hii ipo ila kwa sasa nadhani wamepunguza gharama za malipo, tembelea website ya tcra utapata muongozo.. gharama ya kusajili kwa sasa nadhani ni around 50k to 200k kama sikosei!
 
Upo sawa boss, ila uhalisia unabaki pale pale. Hakuna kazi raisi. Ugumu, uhitajikaji na risk ndo inapelekea kupata kikubwa au kodogo. Pambana mkuu.
Kwani mkuu kuna mtu kasema youtube ni kazi rahisi? From my experience youtube ni moja kati ya kazi ngumu nilizo wahi fanya.
 
Ni angalizo tu maana kuna wale insparational speakers wa anza na mtaji wa bundle la elfu na simu baada ya mwezi una milioni.
 
Nafeli wapi?
Screenshot_20220908-170058_Kiwi%20Browser.jpg
 
Back
Top Bottom