Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
- Thread starter
-
- #41
Mimi ndio nnayo tumia kuanzia video mpaka voice recording. Na kwa voice baada ya kuirekodi kwa simu nai edit kwa kutumia audacity!Naweza kuanza kushoot kwa kamera ya simu?
Nimefuta video nyingi tuSi umeona hapo (reused content) weka video original usichukue za chanel nyingine
Na kubakiza zangu tuSi umeona hapo (reused content) weka video original usichukue za chanel nyingine
Asante sana. Ni Samsung ipi hiyo mkuu?Mimi ndio nnayo tumia kuanzia video mpaka voice recording. Na kwa voice baada ya kuirekodi kwa simu nai edit kwa kutumia audacity!
Kwa kifupi inategemea na aina ya simu.
NB: Natumia Samsung.
Ni hizi A series, ila simu yeyote latest ambayo OS yake iko updated inaweza rekodi audio nzuri tu cha msingi hakikisha una edit audio kwenye audacity then uiunganishe na video!!
ShukraniNi hizi A series, ila simu yeyote latest ambayo OS yake iko updated inaweza rekodi audio nzuri tu cha msingi hakikisha una edit audio kwenye audacity then uiunganishe na video!!
Unatengeneza content za namna ganSo far 2000+, views ni around 15k per month
Bado hujafikisha masaa ya youtube...pia unatumia video za wengineNafeli wapi? View attachment 2350306
Kama Hutojali Mkuu Nitajie niche ya content zako. Au Jina la Channel Sisi Wote Familia MojaMimi ndo nimeapply hapa kuwa monetized...
Nilianza youtube mwezi wa nne...
Video zangu zina views zaidi ya laki na nusu
Mimi ni exploration videos...naexplore maendeleo, vivutio na maeneo mbalimbali ya Tz..hasa hapA Dar...Kama Hutojali Mkuu Nitajie niche ya content zako. Au Jina la Channel Sisi Wote Familia Moja
Hapo kwenye lugha umefanya la maana. Binafsi kutokana na lugha audience wangu wengi ni kutoka USA, Philipines, India na Ethiopia...Mimi ni exploration videos...naexplore maendeleo, vivutio na maeneo mbalimbali ya Tz..hasa hapA Dar...
Natumia kingereza ndo maana audience yangu zaidi ya 70% ni nje hasa US, Uk and Kenya...
Kama unataka kujua jina njoo Pm
Tutorials za engineering mkuu!Unatengeneza content za namna gan
Kwa mwezi unapa viewers wangapi?Mimi ndo nimeapply hapa kuwa monetized...
Nilianza youtube mwezi wa nne...
Video zangu zina views zaidi ya laki na nusu
30k kwa mwezi...Kwa mwezi unapa viewers wangapi?
Lol hongera sana...kupata views za engineering sio rahisi hata kidogo...Tutorials za engineering mkuu!