Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
- Thread starter
-
- #61
Kama ulianza mwezi wa nne na kwa views hizo maana yake ndani ya miezi miwili au 3 utapokea pesa.. ila komaa una chance ya kua na views nyingi zaidi ya hapo ..!!30k kwa mwezi...
Nimeanza mwezi wa nne...
Acha tu mkuu!! Ila focus yangu kwa sasa ni kuongeza income streams sio kua na adsense pekee!!Lol hongera sana...kupata views za engineering sio rahisi hata kidogo...
Kabisa mkuu...Kama ulianza mwezi wa nne na kwa views hizo maana yake ndani ya miezi miwili au 3 utapokea pesa.. ila komaa una chance ya kua na views nyingi zaidi ya hapo ..!!
Cha msingi achana na shortcuts Lengo liwe long term!!
Channel yko inaitwajeChannel yako inatwaje tukufollow...
Mimi ni Youtuber pia
Nicheki pm
Tumia YouTube tutorial ...utajua kila kitu...Mkuu kiukweli mimi nina moto sana na hii kitu..! Ila changamoto ni kwenye video editing...! Ww ulijifunzia wapi ku edit videos?
Kuna mambo mengi mkuu, sio video editing kuna mpaka audio editing!Mkuu kiukweli mimi nina moto sana na hii kitu..! Ila changamoto ni kwenye video editing...! Ww ulijifunzia wapi ku edit videos?
Japo mimi natumia kdenlive ila hii davinci resolve ni one of the best!!Tumia YouTube tutorial ...utajua kila kitu...
Chagua software moja...then ingia YouTube utakuta kila Aina ya kitu...
Mfano Mimi natumia Da Vinci Resolve
Kinachofwata hapo ni kuverify id na location!Naona Leo wameniingiza kwenye YouTube Partner program...
Ahsante sana...kwa process hii...Kinachofwata hapo ni kuverify id na location!
Id tumia kitambulisho cha nida hakikisha umekipiga picha na kinaonekana vizuri.
Location fungua box posta then ili google wakutumia pin huko!
Pox ya posta unafunguajeKinachofwata hapo ni kuverify id na location!
Id tumia kitambulisho cha nida hakikisha umekipiga picha na kinaonekana vizuri.
Location fungua box posta then ili google wakutumia pin huko!
Unaenda ofisi za posta za eneo ulipo au unapotaka barua zako zipitie. Ukifika watakupa mwongozo, bei ni kati ya elfu 40 mpaka 50.Pox ya posta unafunguaje
Sijawahi kuwa au kutengeneza video kama hizo.video zako nilizpenda hasa ile ya shughuli za dada poa usku